Thursday, August 23, 2012

VERONICA MPANGALA ATWAA TAJI LA ‘BIBI BOMBA 2012’

Mshindi wa shindano hilo, Veronica Mpangala akiwa amebebwa juujuu na shabiki wake.
… Akiongea machache baada ya ushindi huo.
... Mkuu wa kitengo cha Habari wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Arnold Madale (kulia), akimkabidhi zawadi Anna Saidi. Katikati ni aliyekuwa.

No comments:

Post a Comment