July
24 2012 Basi la Dar Express lililokua likitoka Arusha na basi la Simba
mtoto lililokua linakwenda Tanga, yaligongana uso kwa uso eneo la Wami
ambapo Majeruhi walipelekwa kwenye hospitali ya Chalinze.
.
.
Picha zote kutoka kwenye blog ya Mrokim.blogspot.com
No comments:
Post a Comment