WAKAMILISHA MIPANGO YA KUFANYA VIDEO YA WIMBO WAO MPYA UNAOITWA (NAONEWA) WALIOMSHIRIKISHA MKALI WA BONGO FLAVA AMBAE ALIPATA FURSA YA KURECORD NA R,KELLY KUPITIA ONE EIGHT. ALLY KIBA . KWA MUJIBU WA MENEJA WA BENDI YA MAPACHA WATATU KHAMIS DACOTA DE LAVIDA.
TUMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA VIDEO YA SHOW BIZ SINA SHAKA WATAFANYA VEMA UKILINGANISHA SASA KUNA USHINDANI MKUBWA UPANDE WA MAKAMPUNI YA NAYO JIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA VIDEO
''ALISEMA DACOTA''
KAENI TAYARI KUPATA VIDEO YA KIWANGO CHA KIMATAIFA
post by bongomic.blogspot.com
No comments:
Post a Comment