Saturday, July 7, 2012
MMMMMM bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaass!!!!
Yes.. Shadee na Ombeni wote kutoka Clouds Tv ...'shoo luv'
mmh... (kushoto) naye alikuwepo hapa akiwa katika pozi na shadee
Kutoka Teenspot Magazine ... waliwakilisha kama kawa.
Nasema hivi.. 'nimekuja ndani ya BBM Party 2012'…
BBM PARTY 2012 BHAAAAAAASI
Posted by Teentz - Full Mikogo on July 7, 2012 at 6:00am 0 Comments 0 Likes
KUTOKA CLOUDS TV MWANADADA SHADEE NDIYO ALIKUWA HOST WA BBM PARTY 2012 HAPA AKIMUHOJI YOUNG NELLY KUTOKA G5click.com
ILE party ya kijanja inayokutanisha mastaa kibao ndani na nje ya Bongo ambayo kwa wiki kadhaa imekuwa ikisubiriwa kwa hamu na mamia ya wapenda Burudani hapa Bongo imefanyika kwa mafaniko makubwa ndani ya Mbalamwezi Beach Club .
Akizungumza na Teentz.com wakati party hiyo ikiendelea , mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya G5click iliyoandaa party…
BBM PARTY XXL INTERVIEW
Posted by Teentz - Full Mikogo on July 6, 2012 at 6:21pm 0 Comments 0 Likes
MB DOGG & Z ANTO XXL INTERVIEW
Posted by Teentz - Full Mikogo on July 6, 2012 at 5:30pm 0 Comments 0 Likes
Leo ndani ya kipindi bora cha redio Bongo XXL kubwa kuliko B12 allikuwa live na wakali waliokuwa wanapiga mzigo ndani ya kundi la Tip Top Connection Mb Dogg na Z Anto
WANAOONDOKA TIP TOP NINI KINAWAKUTA?
Posted by Teentz - Full Mikogo on July 5, 2012 at 1:49pm 2 Comments 0 Likes
NI jambo la kawaida mtu kusaka ulekeo mwingine wa maisha endapo atangundua kuwa sehemu aliyokuwa awali haimfikishi kwenye ndoto za kufanikiwa kimaisha zilizojaa kwenye halimashauri ya kichwa chake.
Kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya hasa wanaonza safari ya kusaka mafanikio kimuziki wakiwa ndani ya makundi imekuwa ni kawaida kujiweka pembeni na kuamua kutoka ‘solo’ ili kutafuta mafanikio zaidi kila wanapobaini kuwa ndani ya kundi walilopo bado kuna kiza.
Miaka michache iliyopita ndani ya gemu ya muziki wa kizazi kipya nchini unaobeba jina la Bongo Fleva tumeshuhudia kuibuka kwa makundi kadhaa ya muziki huo yalioundwa na vijana kwa lengo la kuweka nguvu ya pamoja na hatimaye kutusua (kufanikiwa) kimuziki.
Katika hili wapo ambao wamefanikiwa na wengine waliingia kwa nguvu lakini wakafa…
Mashairi ya Fid Q yamkuna mhadhiri wa chuo kikuu
Posted by Teentz - Full Mikogo on July 5, 2012 at 12:24pm 3 Comments 2 Likes
Mhadhiri (lecturer) wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino ama SAUT, Mwanza, ameguswa na mashairi ya ngoma ya Fareed Kubanda a.k.a Fid Q yaliyopo kwenye ngoma yake MWANZA MWANZA.
Denis Mpagaze, mtaalam wa masomo ya journalism and communication research, mwandishi wa vitabu na journals mbalimbali na mjuzi wa mambo ya falsafa, amewashangaza wanafunzi wake ambao wamezoea kukuta matangazo mbalimbali kwenye page yake ya facebook yanayohusu masomo na quotation za waandishi maarufu wa vitabu.
Tofauti na siku zote, wanafunzi wake wamekutana na maandishi yanayosema, “‘‘USIJARIBU KUPIMA KWA SHINGO UKALI WA UPANGA AU KUIMBA UNAKULA KARANGA NA SUMU KWA KUILAMBA...MANENO NI MKUKI, HEKIMA NGAO... (FID Q)
Kitendo cha mhadhiri huyo kukubali uandishi wa Fid Q, unadhihirisha jinsi mashairi yake…
SHOO YA DIAMOND YAVUNJA REKODI SONGEA
Posted by Teentz - Full Mikogo on July 4, 2012 at 11:20am 6 Comments 2 Likes
SHOO ya nyota wa muziki wa kizazi kipya Bongo Naseeb Abdul 'Diamond' imeingia katka kitabu cha matukio yaliyokusanya watu wengi zaidi katika historia ya mji wa songea na mkoa wa Ruvuma kwa ujumla.
Akizungumza na Teentz.com mapema leo Mkurugenzi wa Jambo Lee Club ambayo iliratibu ziara nzima ya mwanamuziki huyo amesema kuwa shoo ya Diamond imevunja rekodi na kuingia kwenye kumbukumbu za watu kwa kujaza watu wengi na pia ikiwa ni shoo pekee iliyokuwa na msismko mkubwa kuliko hata inavyokuwa wakati wa michezo ya soka inayozihusisha timu kubwa na Simba na Yanga zinapokuja kucheza Songea.
"Shoo imefunika hakika haijawahi…
BOB JUNIOR ATUPIWA ZIGO LA LAWAMA
Posted by Teentz - Full Mikogo on July 4, 2012 at 2:29pm 2 Comments 0 Likes
Mashabiki wa nyota wa muziki wa Kizazi kipya Bongo Junior wamemtupia zigo la lawama bosi huyo wa lebo ya sharobaro kwa kuwalaghai na kushindwa kutimiza ahadi kumwonyesha mke wake mtarajiwa wakati wa shoo yake aliyofanya ndani ya ukumbi wa Club Bilicannas jijini Dar.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Teentz.com mashabiki hao wlaiojitambulisha kuwa ni wakazi wa Gongo la Mboto walisema kuwa wameshindwa kumuelewa Bob Junior kwa kushindwa kuwaonyesha shemeji yao na kisha kukaa kimya bila kusema lolote tangu kufanyika kwa shoo hiyo jumapili iliyopita.
"Binafsi sikupendezwa na hali hile kwani licha ya kuja kuburudika, nia yangu kubwa ilikuwa ni kumuona mkewa wa Bob Junior msanii ambaye kwangu mimi ninamkubari kuliko wengine wote waliopo kwenye game" alisema mmoja wa mashabiki hao aliyejitambulisha kwa…
DANSI LA FIESTA 2012
Posted by Teentz - Full Mikogo on July 4, 2012 at 1:53pm 0 Comments 0 Likes
Mmoja wa majaji wa shindano la Serengeti Dance la Fiesta 2012 lililofanyika kwenye Club ya Mawingu jioni ya leo,jijini Arusha ,Hamis Mandi a.k.a B Dozen kutoka kipindi cha XXL kinachorushwa na redio ya Clouds FM,akikabidhi kitita cha shilingi milioni moja kwa kundi shindi la shindano hilo liitwalo Contagious Crew.
Pichani majaji wa shindano la Serengeti Dance la Fiesta 2012 wakijadiliana jambo wakati wa mchuano mkali wa shindano hilo lililokutanisha makundi manne,ambayo ni Tp Jackson,New Kings,B-Boy Dance pamoja na kundi la Contigious Crew.Kulia ni Jaji Msami kutoka THT na shoto ni Mtangazaji kutoka Clouds TV,Issa…
Add a Blog Post
View All
Advertisement...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment