MAPACHA WATATU WAKAMILISHA MIPANGO YA KUFANYA VIDEO YA WIMBO WAO MPYA UNAOTWA ''NAONAEWA'' WALIO MSHIRIKISHA MKALI WA BONGO FLAVOUR ALLY KIBA AMBAE ALIPATA FURSA YA KURECORD NA R,KELLY KUPITIA ONE EIGHT.KWA MUJIBU WA MENEJA YA BENDI YA MAPACHA WATATU..,KHAMIS DACOTA DE LAVIDA. TUMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA VIDEO YA SHOW BIZ SINA SHAKA WATAFANYA VEMA UKILINGANISHA SASA KUNA USHINDANI MKUBWA KATIKA UPANDE WA JIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA KIWANGO CHA KIMATAIFA
No comments:
Post a Comment