Sunday, July 8, 2012
SIKU chache baada ya nyota kutoka tasnia ya filamu Bongo, Irene Uwoya, kufunguka juu ya kutojua mapenzi kwa ‘X-boyfriend’ wake ambaye ni staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Hamis Ramadhan Baba ‘H –Baba’, mwanadada anayemiliki penzi la msanii huyo hivi sasa Flora Mvungi, ameibuka na kumtupia maneno makali…
BBM PARTY 2012 ‘KAMILI’ ijumaa hii
Ile party ya kijanja inayoshirikisha mastaa kibao kutoka tasnia ya filamu na Muziki wa Kizazi kipya Bongo,BBM Party 2012 itachukua nafasi kwa mara nyingine Ijumaa hii ndani ya Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar Es Salaam.
Akizungumza na Teentz.com mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya…
Added by Teen Newz on July 3, 2012 at 12:38pm — 1 Comment
Serengeti Fiesta Mc Shujaa 2012
Mratibu na jaji wa shindano la kumsaka mkali wa Serengeti Fiesta Mc Shujaa 2012,Reuben Ndege a.k.a Ncha Kali kutoka Clouds FM,akimpa maelekezo mafupi Pacha Great mara baada ya kuibuka kinara wa shindano la kumsaka mkali wa Serengeti Fiesta Mc Shujaa,kwa kuwashinda mahasimu wenzake wapatao 32 waliofika kushirika…
Added by Teen Newz on July 2, 2012 at 1:32pm — 1 Comment
DIAMOND APOKELEWA KWA MSAFARA SONGEA
Nyota wa muziki wa kizazi kIpya Bongo Naseeb Abdul 'Diamond' mwishoni mwa wiki iliyopia alipata mapokezi ya aina yake wilayani Sogea mkoani Ruvuma.
Akizungumza na Teentz.com VIA 4N mara…
Added by Teen Newz on July 2, 2012 at 12:30pm — 7 Comments
BBM PARTY @ MBALAMWEZI ON 06/07/2012 (FRIDAY)
BBM PARTY @ MBALAMWEZI ON 06/07/2012…
Added by Teen Newz on June 29, 2012 at 4:15pm — 1 Comment
FIESTA 2011 MWANZA - SHAGGY SHOW
For more fiesta video clips visit www.youtube.com/fiestaconcert
or Click here FIESTA CONCERT
Added by Teen Newz on July 2, 2012 at 9:00am — No Comments
FIESTA 2011 DAR - LUDACRIS SHOW
For more fiesta video clips visit www.youtube.com/fiestaconcert
or Click here…
Added by Teen Newz on July 2, 2012 at 9:00am — No Comments
ANAYEOLEWA NA BOB JUNIOR HUYU HAPA
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya Rais wa lebo ya Sharobaro Records ya jijini Dar es Salaam, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ kufunga pingu za maisha, kimwana anayetarajiwa kupika mahajumuti nyumbani kwa bosi huyo wa wasafi dunia nzima amejulikana.
Kwa mujibu wa habari kutoka chanzo kimoja kilichopo mjini…
Added by Teen Newz on June 29, 2012 at 2:30pm — 29 Comments
RAIS WA MATEJA HUYU HAPA
KITALE ndiyo jina linachukua nafasi kubwa hivi sasa miongoni mwa mashabiki wa filamu za kibongo wanaopenda kuangalia vichekesho ‘Comedy’, hususani kwa waigizaji vijana wanaochipukia.
Muda mfupi uliopita Teentz.com imepiga stori na Kitale ambaye sasa amepachikwa cheo cha Rais wa Mateja a.k.a wabwia unga (watumia…
Added by Teen Newz on June 28, 2012 at 2:00pm — 11 Comments
FLORA MVUNGI : UWOYA USHAKUWA SCRAPER
"Bwana hajui mapenzi inahusu nini ?wewe ndo hujui bibi ndo mana hutulii na wanaume kila mtu akufunue we mwanamke gani usiyejali utu wako?ndoa imekushinda kisa uma***a ,,yetu yaache hayakuhusu…
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment