Wednesday, July 11, 2012

nEWZZZZZZZZZ

DJ SUPER NOVA BIOGRAPHY

Super Nova grew up in the birthplace of Hip-Hop, the Bronx, New York, and realized at a young age that music bridges the gap between all cultures. Equipped with a unique ear for music, Super Nova found himself inspired by the energy and eclectic sounds in NYC. He spent many of his younger years break dancing, but his attention to the hobby quickly faded once he realized becoming a DJ was his real outlet. The aspiring crowd pleaser would learn while at Penn State University, graduating with an education that extended well past the classroom

Super Nova quickly became a fixture at PSU campus parties and events, as well as many schools along the east coast. His dominance on the party circuit landed him opportunities to share the stage with a wide range of popular music acts including Fabolous, Wale, Lupe Fiasco, O.A.R., Matt & Kim, and Pitbull. The Gotham City product also adds radio appearances to his musical resume, spinning tracks for All Hit B94.5 FM (State College, PA), The Beat 92.7, 993 FM (Phoenix, AZ), and Shade 45 on XM/Sirius Radio. He has also performed internationally, wowing crowds in South Africa, Belize, the Dominican Republic, and Kingston, Jamaica.

For the last seven years Super Nova has worn many faces: a businessman, producer, event planner—but ultimately, he is the deejay. His energy is innovative, offering listeners a new way to shake off the struggles of the present, and escape into the possibilities of the future.

Here are my social media links:



Instagram: @djsupernova
  
DJ Super Nova (Promo Video) 

Jogoo Kichaa-Jambo Squad new Release toka kwa manjeree ya R

Hii ni Mpya toka kwa mmoja wa vijana wa kundi zima la Jambo Squad wanaotambulika zaidi kwa hits zao kama Wakusindikiza,Temana na mimi,Ngastuka,Mamong'oo na disco malapaa,huyu hapa ni Ordinally anakwambia Jogoo kichaa,tunaanza kumkaribisha baba la baba John B wa www.grandrecs.com nyumbani na kuwaweka fans wetu tayari kwaajili ya kitu chetu kipya cha pamoja tukiwa na mtu mzima kiroboto Sir Nature pale kati kwenye chorus au siyo,hatuli mandazi bado tunakamua nyama kama kawa,ni sedere bidenge haina worry,tenyaa tenyaa

NEW TRACK: WAKACHA WARRIORS FT KRICHA - MKWANJA BATA(pop bottles)

Now this is THE TRACK ...we are back ON BUSINESS ladies and gentlemen!...get ready to enjoy the new feel from WAKACHA WARRIORS ft KRICHA! song- MKWANJA BATA(pop bottles)......#team wakacha warriors..pamojah! 

Fid Q afunika Wajanja Tour Mtwara

Msanii Mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Mtwara hapo jana wakati wa tamasha la"WAJANJA" linaendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumapili ijayo litafanyika  katika mkoa wa Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote  na kutumia facebook na twitter


Katika hali isiyotarajiwa na wengi Msanii na Mkali wa Bongo Fleva Farid Kubanda maarufu kama Fid Q juzi alifunika katika shoo wa Wajanja tour  ya Vodacom iliyofanyika Mtwara jumapili hii na kusababisha mashabiki waliojitokeza katika tamasha hilo kukataa asishuke jukwaani.
Fid Q aliepanda jukwaani majira ya saa kumi na moja na nusu baada ya Diamond kumaliza Shoo yake,  na alipopanda jukwaani umati wa wana Mtwara ulilipuka kwa shangwe na kuwapa wakati mgumu mabaunsa waliokuwa wakisimamia shoo hiyo. Hata alipomaliza nyimbo zake mashabiki walipiga kelele kutaka aendelee kuimba na kumwita Ngosha! Ngosha!Ngosha!nakuanza kulisukuma basi alilo[panda msanii huyo mpaka nje ya uwanja.

Wasanii wengine waliofunika katika Show hiyo ni Pamoja na Diamond, Shetaa, Ney wa mitego na Mabeste,


Akizungumza na waandishi wa Habari Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu amesema kuwa Tour ya Wajanja wa Vodacom itafanyika siku ya jumapili ya wiki hii Mkoani Tanga katika uwanja wa Mkwakwani.


"Wajanja tour sasa inaelekea kwa "waja leo waondoka leo" mkoani Tanga baada ya kufunika vilivyo Mkoani Mtwara hivyo wakazi wa Tanga wajiandae kupata burudani kutoka kwa wasanii kibao watakao kuwa katika Tamasha hilo." Alisema Nkurlu.

No comments:

Post a Comment