Wednesday, July 11, 2012

New news

0
Rihanna akiwa na X boyfriend wake nyumbani kwao according to Global Grind.
Tangu Mwimbaji Star Rihanna alipoingia kwenye muziki 2006 Maisha yake ya kimapenzi yamekua gumzo kwenye media na kwa mashabiki wa muziki wake ambapo mwimbaji huyo amemua kuweka wazi ishu za mapenzi zinazoendelea kwenye maisha yake ya sasa.
Rihanna mwenye umri wa miaka 24 amesema amekua mkali kwenye maisha yake ya mapenzi sasa hivi na ni kama mapenzi hayapo kwake, yani kama akikutana na mtu ambae yuko poa ataenjoy nae lakini dakika atakayogundua kwamba wanakaribia kuingia kwenye mapenzi, au kutakwa.. atajiondoa mara moja kwa sababu sasa hivi hapendi kuruhusu watu waingie moyoni mwake kimapenzi tena kwa sababu anaogopa kuumizwa.
According to Global grind, Riri amesema wakati alipofall inlove, liumizwa sana na ni kwa sababu alikua amependa kweli, alipoumizwa alijihisi hana thamani na maisha yake yalibadilika, kila alichofaham kilibadilika, hakuwahi kudhani kama angeweza kuumizwa kiasi kile na asingependa yaliyomkuta yatokee tena.
Haya maneno ya Rihanna yameonekana kuuzungumzia uhusiano wake na mwimbaji Star Chris Brown ambapo RiRi anaonekana pia kutopenda tena baada ya uhusiano wao kuvunjika kwa ugomvi mkubwa.

Enzi hizo Rihanna akiwa kwenye mapenzi na Chris Brown, ilikua x mass kwa kina Brown.
Baada ya kuachana Chris nakumbuka hii picha ilitoka wakati Rihanna Ufaransa kula bata na rafiki zake, wakati huo pia kama kichwa chake hakikua vizuri kwenye mapenzi so muda mwingi akawa anautumia na rafiki zake wa kike, hapa wako na boti private wanaenjoy.
Hii picha haina wiki mbili toka ipigwe.
1
.
.
.
(Picha na stori kutoka issamichuzi.blogspot.com)

NILIKUA SIJUI KAMA HIZI FERRARI ZILITENGENEZWA 39 TU.

Posted: 11th July 2012 by Bongo mic in News
.
Gazeti la The Sun limeandika kwamba hilo hapo juu ni moja kati ya magari 39 tu ya aina hiyo kutoka Ferrari yaliyotengenezwa longtime kidogo, ferrrari za zamani yani saa hivi haziptikani kwenye show room labda uuziwe na mmoja kati ya hao watu 39 waliozinunua kwa POUND MILIONI 20.
Kwenye line nyingine The Sun wameandika kwamba hivi karibuni moja ya magari hayo 39 linalomilikiwa na tajiri mmoja wa kimarekani Christopher Cox limepata ajali huko Ufaransa iliyosababishwa na gari jingine ambapo hasara iliyopatikana inaaminika kuvunja rekodi ya hasara zilizowahi kutokea kwenye ajaliza magari duniani kwa sababu hiyo hasara ni dola za kimarekani milioni 500.

HII INAHUSU FAINALI YA AZAM FC NA SIMBA SC.

Posted: 11th July 2012 by MillardAyo in News
0
.
Simba Sc na Azam Fc zimeonyesha ubabe na kufikia fainali ya kombe la Urafiki huko Zanzibar fainali ambayo ilikua ifanyike huko huko Zanzibar.
hili kombe ni kwa ajili ya kuuweka vizuri uhusiano wa Tanzania bara na Visiwani baada ya vurugu zilizotokea huku baadhi ya watu wakitaka muungano uvunjwe.
Taarifa kamili ni kwamba fainali hiyo iliyokua ipigwe Zanzibar leo jumatano imesogezwa mbele na sasa itapigwa Dar es salaam Uwanja wa Taifa Alhamisi July 12 2012 saa moja jioni.
3
.
Rais wa chama cha Madaktari Tanzania MAT Namala Mkopi amefikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam kujibu mashitaka mawili yanayomkabili kuhusiana na mgomo wa madaktari Tanzania.
Akimsomea mashtaka hayo mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya Kisutu Faisal Kahamba, Mwendesha mashtaka wakili mwandamizi wa Serikali Tumaini Kweka amesema kosa la kwanza Dr Mkopi anashitakiwa kwa kutotii amri halali ya mahakama kuu kitengo cha kazi iliyomtaka atangaze kusitisha mgomo wa madaktari.
Wakili Kweka amesema kosa hilo ni kinyume cha kanuni ya adhabu namba 124 ambapo kosa la pili  linalomkabili Dr Mkopi ni kuhamasisha mgomo wa Madaktari kinyume na kanuni na adhabu ya kifungu cha 390 na kifungu cha 35.
Baada ya kusomewa mashtaka hayo Dr Mkopi aliyakana yote ambapo mawakili wake wanne wanaomtetea wakiongozwa na Kikondo Maulid wameomba mteja wao apatiwe dhamana ambapo hakimu mkazi Faisal Kahamba amesema dhamana ipo wazi na kutaja masharti ya dhamana hiyo ambayo yalipingwa na mawakili wa upande wa utetezi.
Masharti ya dhamana yaliyotajwa yalikua ni wadhamini wawili waajiriwa wa serikali au taasisi zinazotambulika kisheria wakiwa na vitambulisho vyao na hati ya mali isiyopungua thamani ya shilingi laki tano ambapo mawakili wa upande wa mashitaka walitaka masharti ya kukabidhi hati ya kusafiria na kuzuiwa kusafiri nje ya Dar es salaam ndio yaingizwe kwenye masharti ya dhamana.
Hali hiyo ya mvutano wa kisheria ilimlazimu hakimu huyo jana Mahakamani kuomba muda wa dakika kumi ili apitie sheria husika na baada ya hapo mahakama iliamua kumuachia Dr Mkopi kwa masharti yaliyotajwa awali ambapo hakimu alitangaza kwamba kama kuna mtu hajaridhia dhamana hiyo anaweza kukata rufaa mahakama kuu hivyo akaiahirisha kesi hiyo mpaka mwezi wa nane tarehe 6 mwaka huu.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
Millard Ayo na Mama mzazi wa Marehemu Kanumba ndani ya banda sabasaba ambapo alisema T shirts, key holders ni miongoni mwa vitu vilivyouzika sana, wanampango wa kufanya hivyo kwenye maonyesho mengine kama ya nane nane mikoani.
Hivi ni viatu pia alivyokua anavivaa Marehemu Kanumba, haviuzwi ni kwa ajili ya watu kutazama tu.
Moja kati ya pea za viatu za Marehemu Kanumba.
.
Hii ni moja ya nguo zilizokua zinauzwa na ilitolewa maalum kuzikanusha taarifa zilizosambaa kwamba Kanumba alikua Freemason.
.
.
.
.
.
Haya Madaftari yalikua yanauzwa pia.
.
Moja ya madaftari yanayouzwa yakiwa na nembo ya Kanumba.
.
.
Moja ya suti zilizotumik na Kanumba, haiuzwi.
Kofia nazo zilikuepo kwa ajili ya kuonyeshwa tu, haziuzwi.
5
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
.

VIDEO ZANGU TANO NILIZOAMKA NAZO LEO.

Posted: 10th July 2012 by MillardAyo in News
0

Hao warembo hapo juu ni kutoka Mozambique pamoja na Angola, video ya pili hapo chini ni ya mkali wa Nigeria CHIDINMA ambae ni mshindi wa shindalo la awamu ya tatu la uimbaji la MTN Project fame.

Wakati mwingine muziki huwa unapendwa tu na haijalishi kama mtu anaelewa au haelewi…. nimevutiwa na hiyo ngoma hapo chini pia, ni ya wakali kutoka South Africa.
Wanaofatia hapo chini ni Jozi wa South Africa pia, jamaa huwa nawapa nafasi pia kwenye himaya ya muziki ninaoupenda…
Hiyo hapo chini ni video ya pili kunivutia kutoka kwa Navio wa Uganda, ni his new single inaitwa One and Only…

HIZI NDIO PICHA ZAIDI YA 15 ZA BAR YA ALLY CHOKI.

Posted: 10th July 2012 by MillardAyo in News
1
hili ndio bar aliyoikodi staa wa muziki wa Dance Tanzania Ally Choki ambae ana zaidi ya miaka 20 kwenye muziki huo, alitamani kuwa na sehemu kama hii kwa miaka tisa lakini ilishindikana kutokana na management yake kutokua ya kuridhisha, hii bar iko Kimara Dar es salaam na imezinduliwa ijumaa july 6 2012.
Baada ya kuikodi, Ally Choki ameifanyia marekebisho na kuilipia kodi hivyo jumla ya gharama alizotumia mpaka sasa hazipungui milioni 15.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
 c

No comments:

Post a Comment