Monday, July 16, 2012

North Korea's army chief relieved of all duties

Speculation healthy-looking chief was 'purged' amid claim of illness

North Korean new leader Kim Jong Un, right, and General Staff chief Ri Yong Ho clap as they review a parade of thousands of soldiers. State television reported Sunday that Ri has been dismissed due to illness, though skeptics have noted that the influential mentor to Kim seemed healthy in recent appearance. North Korean new leader Kim Jong Un, right, and General Staff chief Ri Yong Ho clap as they review a parade of thousands of soldiers. State television reported Sunday that Ri has been dismissed due to illness, though skeptics have noted that the influential mentor to Kim seemed healthy in recent appearance.

UNAJUA KWAMBA MILLARD AYO ALIWAHI KUTOLEWA KATIKA CHUMBA CHA MTIHANI KWA KUTOMALIZIA ADA?

Posted by GLOBAL on July 16, 2012 at 2:42pm 0 Comments
Kama tulivyokuahidi msomaji wa Mo blog ifuatayo ni sehemu ya pili ya mahojiano kati ya Mhariri wa Mo Blog Lemmy Hipolite na Mtangazaji maarufu Millard Ayo.
Mo Blog: Tunamsikia Millard Ayo lakini hatujui ni nani hasa.?
Millard Ayo: Milliard Ayo ni kijana wa miaka 26 aliyezaliwa tarehe 26 Januari mwaka 1986 ni kijana aliyezaliwa katika hospitali ya Mount Meru na ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wanne.
Ninatoka katika familia ya Mzee Arael Ayo al maarufu kama ‘Chalii’ pale Tengeru mkoani Arusha.
Mo Blog: Tupe siri ya mafanikio yako pamoja na umaarufu ulionao.?
Millard Ayo: Kiukweli moja kati ya vitu vinavyonifanya mimi nipate mafanikio, namshukuru Mungu kwa sababu kwanza situmii vitu…

25 TANZANIAN PATIENTS WITH HEART RELATED PROBLEMS TO BE TREATED BY SRI SATHYA SAI SOCIETY, FREE OF COST

Sri Sathya Sai Society of undertaking unique exercise of screening patients suffering from heart related problems from 16-18th July 2012 at Regency Medical Centre.
25 patients will be selected and in August a specialist doctor from Sri Sathya Sai Hospital, Rajkot India will do a final check up after which they will be sent to the said hospital in Rajkot for further treatment free of cost.
Sri Sathya Sai Heart Hospital will bear the expenses of picking the patients from the nearest airport in India, providing treatment, surgeries and medicines expenses and lodging and boarding facilities during their stay in India.  They…

CRDB YASHINDA TENDA YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI

Release No. 119
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Julai 16, 2012
CRDB YASHINDA TENDA YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI
Benki ya CRDB PLC imeibuka mshindi wa tenda ya kutengeneza tiketi za elektroniki za kuingilia uwanjani iliyotangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
Kampuni saba zilijitokeza katika hatua ya awali ya kuonesha nia (Expression of Interest) kwa ajili ya tenda hiyo ambapo Aprili 19 mwaka huu Kamati ya Mipango na…

CHADEMA WASHINGTON DC YAPATA UONGOZI MPYA

Mwenyekiti mpya wa Tawi la Chadema Washington DC, Ndugu Cosmas Wambura akiongea mambo machache baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya.
Aliyekuwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Kalley Pandukizi akimkabidhi Kitabu cha Katiba na Sera za Chama Mwenyekiti mpya Ndugu Cosmas Wambura.…

MSONDO, MELODY WAENDELEZA MOTO WA BURUDANI DAR LIVE

Mkongwe ya mipasho wa Melody, Mwanahawa Ally, akiwajibika jukwaani.
Mwimbaji mwingine wa Melody, Zuhura Shaban wa Melody akighani.
Huyu ni mpiga ngoma wa kundi la Naukala, Saidi Mbonde.…

SuperSport’s GIFT graduates to come of age at 2012 Cecafa - Kagame Cup on DStv

As the Council for East and Central Africa Football Associations’ (Cecafa) finest football clubs gather in Tanzania to contest regional supremacy in the 2012 edition of the annual Cecafa-Kagame Cup, graduates from SuperSport’s first Gaining Insight from Training (GIFT) programme are going through the final checks as the commencement of the tournament looms large.
The GIFT programme is SuperSport’s joint venture with Kenya’s Strathmore University, offering a six-month television production skills course.
SuperSport is broadcasting the 14–28 July championships live in its entirety with Kiswahili commentary done…

TAMKO LA CHADEMA KUHUSU VURUGU ZILIZOTOKEA MKOANI

 CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tamko Kuhusu Yaliyojiri Katika Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Uliofanyika Kata ya Ndago Siku ya Jumamosi Tarehe 14 Julai 2012
1. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliandaa mikutano ya  hadhara katika Jimbo la Iramba Magharibi. Mikutano hiyo ilitolewa taarifa polisi na jeshi hilo lilitoa baraka zake kama utaratibu wa sheria unavyotaka kwa barua yake ya tarehe 12 Julai 2012 Kumb. Na. KIO/ B1/1/VOL.V/268



2. Mkutano wa kwanza ulipangwa kufanyika katika Kata ya Ndago katika  viwanja vilivyo karibu…

JIKOMAN, MANSU LEE KUKAMUA TANZANIA MUSIC FESTIVAL

WASANII wawili mahiri, Jikoman na Masu Lee ni kati ya watakaofanya kazi katika tamasha linalojulikana kama Tanzania Music Festival.

Tamasha hilo linatarajia kufanyika jijini mwezi ujao na mratibu wake, Reda amesema watatangaza ndani ya siku chache zijazo litafanyika katika ukumbi upi.

“Kila kitu kinakwenda sawa, tutatangaza sehemu ya tamasha lenyewe pamoja na wasanii wengine ambao watatumbuiza siku hiyo,” alisema Reda.

Jikoman ndiye msanii anayeng’ara zaidi katika miondoko ya reggae wakati Mansu Lee ni kati ya wanaofanya vizuri katika hip hop nchini.

Reda alisema kuna wasanii wa miondoko mingine wakiwemo wa reggae, watatangazwa ili kuongeza nguvu na kusaidia kufana kwa tamasha hilo…

TAMASHA LA WAJANJA WA VODACOM LAFUNIKA TANGA

Msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz akiwapagawisha wakazi wa jiji la Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mjini humo, likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shillingi na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.…
 

No comments:

Post a Comment