Saturday, July 7, 2012

ew newz

FFU watoa Salam za heri za "SABA SABA" Ngoma Africa Band yatoa SALAMU ZA HERI YA "SABA SABA" KWA WATANZANIA Bendi ya Muziki wa dansi "Ngoma Africa band" aka FFU yenye makao yake kule ujerumani inatoa salamu za heri "Saba Saba " kwa watanzania wote walio ndani na nje ya nchi,bendi hiyo inaipongeza uongozi wa nchi pamoja na watanzania kwa kuendeleza mila ya kuudumisha sherehe za "Saba Saba" ambazo pia zinawapa nafasi watanzania kuonyesha na kushiriki katika maonyesho ya biashara ya bidhaa zinazozalishwa viwandani, mashambani,na huduma ya jamii. Mungu Ibariki Tanzania ! Mungu Ibariki Afrika ! Tufurahie Saba Saba kwa kupata raha ya "Supu ya Mawe" kutoka kwa Kikosi kazi Ngoma Africa aka FFU. unaweza kusikiliza pia at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Posted by DJ Choka At 5:22 PM 0 Comments Labels: News Friday, July 06, 2012 Sita Ogopa - Monica Ft. NISHER (Official Music Video) Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Posted by DJ Choka At 10:21 AM 0 Comments Labels: Nisher, Video NEW MAISHA CLUB DODOMA NDIO HABARI YA MJINI. Huu ndio muonekano mpya wa Maisha Club iliyopo mkoani Dodoma, baada ya matengenezo ya mda mfupi sasa imefunguliwa tena upya ikiwa na muonekano mpya na wameongeza upande wa VIP. Anaitwa DVJ Tariq ukiingia ndani upande wa V.I.ME basi utakutana nae huyu na kupata burudani ya huwakika Huku ndio upande wa VIP kama unavyoonekana zikiwa zimewashwa taa zake. Hyperman HK akimfanyia interview ya TV DJ Pac kwaajili ya kurushwa katika Television ya DTV Mtu mzima DVJ Majizo akiwa mtamboni akiporomosha mvua ya mawe kwenye upande wa music mzuri Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Posted by DJ Choka At 10:10 AM 1 Comments Labels: Events, Maisha Club Dodoma New Maisha Club Dodoma "GRAND LAUNCH RED CARPET"

No comments:

Post a Comment