Saturday, July 7, 2012

Mashabiki wa nyota wa muziki wa Kizazi kipya Bongo Junior wamemtupia zigo la lawama bosi huyo wa lebo ya sharobaro kwa kuwalaghai na kushindwa kutimiza ahadi kumwonyesha mke wake mtarajiwa wakati wa shoo yake aliyofanya ndani ya ukumbi wa Club Bilicannas jijini Dar. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Teentz.com mashabiki hao wlaiojitambulisha kuwa ni wakazi wa Gongo la Mboto walisema kuwa wameshindwa kumuelewa Bob Junior kwa kushindwa kuwaonyesha shemeji yao na kisha kukaa kimya bila kusema lolote tangu kufanyika kwa shoo hiyo jumapili iliyopita. "Binafsi sikupendezwa na hali hile kwani licha ya kuja kuburudika, nia yangu kubwa ilikuwa ni kumuona mkewa wa Bob Junior msanii ambaye kwangu mimi ninamkubari kuliko wengine wote waliopo kwenye game" alisema mmoja wa mashabiki hao aliyejitambulisha kwa…

No comments:

Post a Comment