EBSS MWANZA NDANI YA CCM KIRUMBA DAY ONE
Bwana Sajid Khan afisa Biashara Mkuu wa Zatel akikabidhi simu kwa mmoja wa Madiwani wa jiji la Mwanza
Sajid
Khan Afisa Biashara Mkuu na Deepak Gupta Mkurugenzi wa masoko kutoka
Zantel wakiwa na Wilson Kabwe (aliyesimama) Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza
akiongea na Madiwani wa Mwanza.
Mshiriki namba 4969 akiimba wimbo kwenye simu yake mbele ya majaji
Majaji wakiwa makini wakimsikiliza mshiriki
Samson Samuel akihuzunika baada ya kuambiwa hajatimiza viwango vya kurudi siku ya pili
Washiriki wakisubiri zamu yao kuingia kuwaona majaji
BEEZY'S LGB MIXTAPE
Ladies and Gents,
the new Mixtape "L.G.B." by the tanzanian Artist "Benson" based in Germany is out now.
Such big names like Stiggo or J-Ryder are part of this
project,which is building a buzz in germany and even setting Standards
in the industry.
Artist: Benson
Label: Grindnomic Records
CD: L.G.B. Mixtape
Where to get it: www.grindnomic.de
direkt link: Benson-L.G.B. Mixtape
Make sure you download your copy for free and support good music!!!!
Let's Get Beezy
ZAIDI YA WASHIRIKI 2500 WAHUDHURIA BONGO STAR SEARCH
Culture Flower group kutokea Shinyanga wa kisubiri kuwaona majaji
Washirki wakifanya mazoezi ya kuimba wakisubiri zamu yao.
Washiriki wakiitwa majina kwa ajili ya kupewa namba kabla ya kuingia kuwaona majaji
Washiriki wakijadiliana kuhusu shughuli nzima ya usaili.
Madam Rita akihojiwa na mwandishi kutoka Barmedas.
Friday, July 13, 2012
BEANIE SIGEL AFUNGWA JELA MIAKA 2.
Rapper mwenye miaka 38 jina la passport Dwight Grant a.k.a Beanie Sigel alishtakiwa kwa kutolipa kodi mwaka 2003 hadi 2004 imeripotiwa na TMZ. Wakati wa case hiyo huko Philadelphia Beanie Sigel alimwambia Jaji anakubali yote lakini alilalamika juu ya ndugu zake walioshtakiwa kwa kutumia pesa zake wakati akitumikia adhabu ya kutumia dawa za kulevya na kukkutwa bastola kinyume cha sheria mwaka 2004 – 2005. ‘Sijafanikiwa kuendelea na maisha yangu ya muziki kabisa” aliiambia Mahakama Beanie Sigel. Beanie Sigel anazo album ya “The Truth, The
Hizi hapa ni picha mbalimbali zinazomuonyesha Rais Baraka Obama akiwa
amelowa chapachapa kutokana na mvua iliyoanza kunyesha mara tu baada ya
yeye kuanza mkutano wake wa kampeni huko Roanoke,Virgnia. Unapotaka
kura,sharti ufanye lolote lile kama vile mtaka cha uvunguni anavyopaswa
kuinama. Bila shaka ushashuhudia wanasiasa wetu wakimsalimia mtoto mdogo
“shikamoo” au kumpigia mtu magoti ili mradi tu….
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwekezaji kutoka Nigeria, Bw.Aliko Dangote (kulia) ambaye anakusudia kujenga Kiwanda cha Saruji mkoani Mtwara, baada ya mazungumzo yao jijini Dar es salaam Julai 15,2012.Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Dr. Ishaya Manjabu.
Kwa mujibu wa Forbes Magazine, Bw.Aliko Dangote,ndiye mtu tajiri kuliko wote barani Afrika.Tuliwahi kuandika habari zake hapa ambapo unaweza pia kusoma kiasi cha fedha alichonacho.
Read more: Bongomic.blogspot.com
No comments:
Post a Comment